Miss chagga bring back my hazbendi

Kasinde mpnz wangu hebu njoo basi fasta hapa nkwambie kitu kabla Khantwe na Tized kimbaumbau haja!

mi naogopa kufanyiwa mande bana, mambo ya humu hata hayaeleweki ukijifanya leo uko na huyu, kesho yule mmmhhh wanakufanyia mande sasa hv. Wacha mie nijilie ujana mambo ya mapenz yalishanishindaga Kasinde mie ndomana hata Tized........................ manyoya!!!!
 
Kasinde hakunaga tena hizo mambo siku hizi watu wamestaarabika bana Tyta wewe mtata sana aise yaani nimekukubali

kweli!!! mmmhh mi naogopa kufanyiwa mande bana tyta sjui ndo kasema ntapasuliwa kwa kukumbatiwa..................!!!!
 
Unasemaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Mama nashukuru umeonesha uvumilivu nakupenda mom mshke dad astoke huyo..

Mama yako ana tabia nzuri sn binti yangu km tabia yako ilivyo nzuri!

Baba umeniumiza sana naomba nisiseme sana nitakuja ukiwa umetulia.

Pole binti yangu pilika zilinisonga! Mi niko na mama yako mpk kaburini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…