Eshy m.s unafikiri yeye miss chagga anamind sana hizo mambo yeye mshiko tuu anapenda kama Tyta anao wa kutosha jua ataweka kambi hapoivi wewe huna mume?? Mr Rocky kwani huyu mkeo humridhishi?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eshy m.s unafikiri yeye miss chagga anamind sana hizo mambo yeye mshiko tuu anapenda kama Tyta anao wa kutosha jua ataweka kambi hapoivi wewe huna mume?? Mr Rocky kwani huyu mkeo humridhishi?
utanibembeleza kama mke wangu romantic eyes?
Usikubali kuonja umeona wake za watu wanavolia sipendi mdogo wangu aumie pia take care bwashee...
Nitakubembeleza kama mimi
nimezoea kubembelezwa kama yy..vjifunze nikupe hiyo nafasi.
eeh eeh eeh slowly with my hazbendi looooh
Kidogo bwana namtaka kwani ufutio useme itaisha?
Macho yangu yamwshazeeka ndio maana yananidanganya loh
heeee kwahiyo kama miss chagga anabembeleza kama mimi utaenda??????
Yaani bora umewahi maana huyu miss chaga amekuja na kasi ya ajabu Shem asitoke ndani huyo haka kaupepo kapite kwanza...
nampima tu akili... niende nje nikakutane na nn? kama ni macho ya mahaba unayo.. kama ni mapenzi mashalaaa... nn shida?
siko tayari kuja kula sahani moja na baba mkwe wangu Ntuzu
Usikubali kuonja umeona wake za watu wanavolia sipendi mdogo wangu aumie pia take care bwashee...
si ndo hapo na mimi nakushangaa? au labda unataka akakukamue hivyo vihela vyetu tulale na njaa
Nataka na hela nataka pia
weweweeeee sikubali mke wangu....
miss chagga kama kweli umekula kigegedeo cha mzee Ntuzu kuanzia leo naomba nikubadilishe jina.. utakuwa mama mdogo kwangu..
weweweeeee sikubali mke wangu....
miss chagga kama kweli umekula kigegedeo cha mzee Ntuzu kuanzia leo naomba nikubadilishe jina.. utakuwa mama mdogo kwangu..