tunakupenda zaidi mummy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humpata hata kidogo muulize Valentina kama huamini.
hapa inaelekea kikubwa unachoogopa ni kushea na baba mkwe wako tu!
Huwa anatumia username gan nimesahau
Huku mtaani nishamkataza hadi nimesahau sijui alikuwa anaitwaje...
Jamani wewe mbona hivyo
Ndo hivo maana naogopa kuibiwa..
Yako wapi...
Hivi anaishi wapi?
Anaishi UK
Akija bongo anakaa wapi?
Kule tulikojenga nyumba yetu....
mbona maelezo yako nusu nusu wapi huko? mtaa gani?