Miss Chagga, Hii ni kitchen party yako

Dear huyu ni dada yangu,
baada ya kutoka Denmark masomoni aliamua kwenda mkoani na kuanzisha mradi wake.
Nataka nikamchukue weekend hii

mnafanana sana dear kweli nyie ndugu, kamchukue mme.
 
asante..mkeo sasa kanifaham rasmi
happy me
Dear huyu ni dada yangu,
baada ya kutoka Denmark masomoni aliamua kwenda mkoani na kuanzisha mradi wake.
Nataka nikamchukue weekend hii
 

Mm ndie nilieoteshwa kwako kua na subira nipo njiani naja ##Miss chagga


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Utupe mrejesho mamii
 
Yes aunt yangu,

Pole kwa yote yaliyopita.

Hii sendoff ya sasa I hope ni yako, hebu sema neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…