Miss Chagga, Hii ni kitchen party yako

Miss Chagga, Hii ni kitchen party yako

Salamu sana wana CC wote.

Leo nimekuja na ujumbe maalum kwa shangazi yangu miss chagga;
Nasikia uko kwenye pilikapilika za kufunga pingu za maisha;

Je, blanketi la shangazi ni nani kachukua?

Roho inaniuma mimi jamani! Nakufunga note Na maombi ya mkesha ili niweze kumpata huyu malaika kumbe ana mchumba!!
 
Last edited by a moderator:
Utajuaje kama ndiyo wewe sasa;
Usiumie bado endelea kusugua magoti, Bwana atajibu maombi yako.
Roho inaniuma mimi jamani! Nakufunga note Na maombi ya mkesha ili niweze kumpata huyu malaika kumbe ana mchumba!!
 
Mamndenyi asante kwa kunitabiria mema,.. mimi nipo sana jukwaani labda tunapishana muda tu.. sina hata wa kunifunga nae ndoa kwa sasa nasubiria niambiwe lakini naona kimya mpaka sasa... ila kwa kuwa leo mmenitabiria mema loh mwaka 2016 hii ndoto ndo nitatimiza .... Mungu nipe mume atakeyenipenda na kunijali ana awe anajua kutafuta hela amina...
CC:mwallu,Honey Faith Munkari
mshana jr ,Dublin,Mwanyasi usijali mda ukifika panga lako lipo, janeth1,Mtoto halali na hela, charminglady.
wakati ukifika member wa jf hasa kule kamati kuu mtajua tu sitafanya siri,
 
Back
Top Bottom