Mkuu Huyo hana shida .ila siunajua kazaliwa bank.Jamani naomba niwambie kitu!
Sijawa kumuona huyu dada ila huwa nahisi moyoni mwangu kuna chumba kipo wazi kwa ajili yake ni hayo tu! Kama anasoma atambue hilo kuea chumba chake moyoni kipo wazi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una heal? Kama huna katafute kwanza ndiyo uandike uzi kama huu.
Nijitathmini inawezekana nimekuwa robbot la matope mkuuHivi Sky siku hizi umekuaje? Yaaani full kuchapia. Kila post unachapia