Miss Chagga nauzee huu nahisi kupwaya moyoni mwangu!

Miss Chagga nauzee huu nahisi kupwaya moyoni mwangu!

ooh kumbe nachumba ngoja nimalizie hii michakato wewe ukiwa unatafuta pesa nitakuja kujaza hicho chumba mkuu usijali
Pesa siyo issue tukimaliza za Kagoda tutahamia za Meremeta zikiisha tutahamia za Buzwagi na North Mara ikishindikana kabisa badi tutagusa IPTL au Escrow ila kifipo pesa haijawai kuwa tatiza kwangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hawa jamaa wanasoma hizi ripoti kwa mbwembwe na sauti nzito utadhani wanaume kweli. Dah.
Na mie nafuatilia hili igizo. Nahisi Noah zitakuwa upgraded to tractors tuinue uchumi wa siasa ni kilimo
Vijana tufanye kazi kidogo tuwe busy ,we mtu hujawai ata muona unadai anachumba moyoni [emoji23][emoji23] unapangisha au ? [HASHTAG]#niko[/HASHTAG] nasikiliza ripot ya almc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hawa jamaa wanasoma hizi ripoti kwa mbwembwe na sauti nzito utadhani wanaume kweli. Dah.
Na mie nafuatilia hili igizo. Nahisi Noah zitakuwa upgraded to tractors tuinue uchumi wa siasa ni kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe leo tunapata pesa ya tractor kila mmoja aisee ukiwa na noah bado tractor hufi masikini [emoji28][emoji28] [HASHTAG]#kiki[/HASHTAG] hizi
 
Shauri yako, Wenzio wanatafuta mapenzi wewe unatafuta pesa.
hahaha me mwenyewe natongoza ujue wenye pesa .. labda awazidi
Mie mbona nipo sana kaka. Tunapishana tu hapa mjengoni kwa sababu ya mlima wa makinikia
King'asti hatimae umeonekana..
Yaani jamaa dakika 15 katumia kumsifia Mkubwa. Nahisi tutapewa bombadia kila kaya aisee. Mie bichwa hilooo
Kumbe leo tunapata pesa ya tractor kila mmoja aisee ukiwa na noah bado tractor hufi masikini [emoji28][emoji28] [HASHTAG]#kiki[/HASHTAG] hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom