miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
acha kwanzaAlafu Miss chagga una "Muua Ua mtu huku" kazi yako ku like comments za watu tuu...! Please njoo uyajenge tunawaacha muyamalize[emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kwanzaAlafu Miss chagga una "Muua Ua mtu huku" kazi yako ku like comments za watu tuu...! Please njoo uyajenge tunawaacha muyamalize[emoji125] [emoji125]
Ninakuamini maeooh kumbe nachumba ngoja nimalizie hii michakato wewe ukiwa unatafuta pesa nitakuja kujaza hicho chumba mkuu usijali
hilo kwangu halina shaka kabisaNinakuamini mae
Wosaah.ooh kumbe nachumba ngoja nimalizie hii michakato wewe ukiwa unatafuta pesa nitakuja kujaza hicho chumba mkuu usijali
Pesa siyo issue tukimaliza za Kagoda tutahamia za Meremeta zikiisha tutahamia za Buzwagi na North Mara ikishindikana kabisa badi tutagusa IPTL au Escrow ila kifipo pesa haijawai kuwa tatiza kwangu!ooh kumbe nachumba ngoja nimalizie hii michakato wewe ukiwa unatafuta pesa nitakuja kujaza hicho chumba mkuu usijali
hii michakato yako mbona kama mafisi wengi sitakufaidi?Pesa siyo issue tukimaliza za Kagoda tutahamia za Meremeta zikiisha tutahamia za Buzwagi na North Mara ikishindikana kabisa badi tutagusa IPTL au Escrow ila kifipo pesa haijawai kuwa tatiza kwangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana tufanye kazi kidogo tuwe busy ,we mtu hujawai ata muona unadai anachumba moyoni [emoji23][emoji23] unapangisha au ? [HASHTAG]#niko[/HASHTAG] nasikiliza ripot ya almc
upo sahihi .......asije nifia sababu sijatulia bado atiiUkiona mtu mzima mamaaaa
Analia mbele za watu, ujue kuja jambo!
[HASHTAG]#singing[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
khee acha matishoUjiandae kwa stress
[emoji23] [emoji23] [emoji23] samahani nisije kukupeperushia ndege wakokhee acha matisho
upo sahihi .......asije nifia sababu sijatulia bado atii
bora umeona hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] samahani nisije kukupeperushia ndege wako
hahaha me mwenyewe natongoza ujue wenye pesa .. labda awazidi
King'asti hatimae umeonekana..Halafu hawa jamaa wanasoma hizi ripoti kwa mbwembwe na sauti nzito utadhani wanaume kweli. Dah.
Na mie nafuatilia hili igizo. Nahisi Noah zitakuwa upgraded to tractors tuinue uchumi wa siasa ni kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe leo tunapata pesa ya tractor kila mmoja aisee ukiwa na noah bado tractor hufi masikini [emoji28][emoji28] [HASHTAG]#kiki[/HASHTAG] hiziHalafu hawa jamaa wanasoma hizi ripoti kwa mbwembwe na sauti nzito utadhani wanaume kweli. Dah.
Na mie nafuatilia hili igizo. Nahisi Noah zitakuwa upgraded to tractors tuinue uchumi wa siasa ni kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie mbona nipo sana kaka. Tunapishana tu hapa mjengoni kwa sababu ya mlima wa makinikiahahaha me mwenyewe natongoza ujue wenye pesa .. labda awazidi
Yaani jamaa dakika 15 katumia kumsifia Mkubwa. Nahisi tutapewa bombadia kila kaya aisee. Mie bichwa hiloooKing'asti hatimae umeonekana..
Kumbe leo tunapata pesa ya tractor kila mmoja aisee ukiwa na noah bado tractor hufi masikini [emoji28][emoji28] [HASHTAG]#kiki[/HASHTAG] hizi