Miss Chit-Chat December 2012 Maandalizi ya Awali yameanza..

Shem na wewe bwana mambo yako.
Wala mimi sasa hv nabaki kama mdhamini.
Afu mbona hupatikani hewani?

mmh mbona nipo hewani...we sio unapiga simu kituo cha hali ya hewa!!!!
 
Mpaka mh. Ruhazwe JR a.k.a ANKO LUNDENGA aje, tuendelee kulisongesha...Tuanze hatua za awali za mapendekezo ambapo unaruhusiwa kupendekeza majina matatu then unakaa pembeni. ANKO karocharocha, akija nampisha kwenye siti yake. Tuendelee....

Mbona hakuna Mr. Chit Chat?
 
Arushaone umeanza hiyo kazi ya mwanao lini tena.
 





Hahaaaaaaa.....wee nomaaaa.
Naanza kujipigia debe.
 
Last edited by a moderator:

Afadhali umetoka...tumepungua. Asante mwaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…