Miss Chit-Chat December 2012 Maandalizi ya Awali yameanza..

asante kwa kunipa promo cjui itakubalika maaan humu wanapeanaga ka ajira za wabunge viti maalum na wakuu wa mikoa/wilaya bila kuwasahau majaji

mi ukipita nakupigia kura. sema muandaaji kaingia mitini. mia
 

muda wa kupiga kura tayari?
 
Hivi kuna mpinzani wa madamx hum ndani jamani? 2subili 2one
 
There are currently 2 users browsing this thread. (2 members and 0 guests) @C6, charminglady+
 
Last edited by a moderator:
Mpaka mh. Ruhazwe JR a.k.a ANKO LUNDENGA aje, tuendelee kulisongesha...Tuanze hatua za awali za mapendekezo ambapo unaruhusiwa kupendekeza majina matatu then unakaa pembeni. ANKO karocharocha, akija nampisha kwenye siti yake. Tuendelee....

Mbona hamuweki na mr. Chit chat bwana?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…