Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Mbona mshindi alishapatikana ni Lady doctor nashangaa Arushaone kamuweka kwenye miss nitaandamana
Asanteee mi nampendekeza Heaven on earth , charming lady , ladyfurahia , Fixed Point hivi mwisho mangapi kupendekeza najiona naendelea tu.........
kwenye maswali na mimi naona ni wazo zuri pia.......it gives the idea of how brilliant the contestant is
and the other side of coin that other people are not aware off ......nasuport hili
cc Arushaone
naunga mkono hoja!
afu hney nimeona
sehemu unahofia kua wamekuovateki
kwa ulinzi toka kwa sosoliso walishindwa!!
Mbona mshindi alishapatikana ni Lady doctor nashangaa Arushaone kamuweka kwenye miss nitaandamana
Baba V
Mi nilidhani tunapendekeza maMiss, kumbe hata sisi maMRS tunahusika?Asanteee mi nampendekeza Heaven on earth , charming lady , ladyfurahia , Fixed Point hivi mwisho mangapi kupendekeza najiona naendelea tu.........
soma heading kwanza! u have to choose/propose washiriki 4.
hapana me nakuamini sana, hivi kweli a sosolisi hakuomba muimbe pambio kweli? simuamini kabisa.
Mi nilidhani tunapendekeza maMiss, kumbe hata sisi maMRS tunahusika?
ningekupendekeza mbona my twin...