Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

Mi nilidhani tunapendekeza maMiss, kumbe hata sisi maMRS tunahusika?
ningekupendekeza mbona my twin...
Ni Hivi wakati napendekeza hata sikujihoji manake nilikua nawahi mahala. Kwa kweli sisi maMrs hapana kwanza sisi wengine umri umeenda sana kwenda kupita mbele na vile vivazi . Mwaya haitufai hii naona nilikosea, sasa Lady doctor sorry nilikua sijausoma uzi vizuri kumbe wanahitajika maMiss wewe ukanichomekea khaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom