The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Hujammiss mdogo wako Erick?
Hamna kabisa
Machozi yananitoka kwa furaha sikutarajia mi mshindi sasa lkn mie mama bomba ahahaaaa uwiiiiiiiiii asante sana nalia machozi ya furaha
Hahahaaa labda akupendekeze kwenye mashindano ya wabibi vikongweeee
sana yaani......Hujammiss mdogo wako Erick?
sana yaani......
Ni Hivi wakati napendekeza hata sikujihoji manake nilikua nawahi mahala. Kwa kweli sisi maMrs hapana kwanza sisi wengine umri umeenda sana kwenda kupita mbele na vile vivazi . Mwaya haitufai hii naona nilikosea, sasa Lady doctor sorry nilikua sijausoma uzi vizuri kumbe wanahitajika maMiss wewe ukanichomekea khaaaaa.Mi nilidhani tunapendekeza maMiss, kumbe hata sisi maMRS tunahusika?
ningekupendekeza mbona my twin...
karibu.......mkeo yuko wapi
. . . . I see !!