Miss Curious mimi mgeni humu nahitaji marafiki Jamii forum

Curiosity? Curiosity is a dangerous game. Dumb and blind, hear nothing, see nothing.
 
Haikuwa na ulazima sana kusema ww ni mzuri sanaa
 
Nimekutumia ujumbe PM kisha utanijibu
 
Kwajinsi ulivyo dadavua.....
Nakushauri uendelee kutumia I'd yako ile ya zamani ninanyo ifaham
 
Ni mbaya sana mwanaume kujifanya mwanamke. Halafu ukilawitiwa na mapepo na majini mnalalamika.

Anyway, ukiona mwnaume anadiriki kudanganya kuwa yeye ni mwanamke jua kuwa homoni za kike ni nyingi sana mwilini mwake. Na yupo radhi kutendewa yale wanawake wanatendewa.

Mwanaume halisi, hawezi pretend kuwa mwanamke. Labda awe gaidi ama katumwa kazi maalumu. Na hata kama katumwa kazi maalumu hujisikia vibaya sana pale anapoigiza kuwa mwanamke.

Nasisitiza, ukijiona unaweza pretend kuwa mwanamke, basi fahamu kuwa una homono nyingi za kike. Na kuwa wewe huna viwango halisi vya wanaume
 
Je, wajua...curiosity killed ze pussy/nyau/cat/paka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…