EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
[emoji1487][emoji119][emoji1487]Nyota wa muziki wa Rap, Missy Elliot ametunukiwa shahada ya uzamifu katika musiki na chuo kikuu cha Berklee College of Music Marekani.
[emoji146][emoji146]“Missy” ambaye jina lake kamili ni Melissa Arnette Elliott, alitamba katika tasnia ya mziki huo wa kufoka kwa takriban miaka 30 sasa na amewahi kushinda tuzo za Grammy 5.
Je wimbo upi wa [emoji146][emoji146]Dr. Missy Elliot unaoukumbuka?