Miss Grand Internatinal 2026: Ni kipimo cha watanzania kuungana kwenye kupigania jambo lolote

Miss Grand Internatinal 2026: Ni kipimo cha watanzania kuungana kwenye kupigania jambo lolote

Jerry001

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
1,685
Reaction score
4,003
Salaam wakuu,

Hili jambo nilikuwa silifahamu ila baada ya girlfriend wangu ku-share na mimi nikaanza kulifuatilia. Kwa tafakuri yangu nimeona ni mwanzo mzuri na mwamko wa watanzania kuungana kwenye common goal.

Mwanzo sikutaka hata kuliongelea maana najua wanasiasa ni watu wa kuchukua credit mahala hata ambapo hawajahusika. Ila fikiria vipi kama linafufua ari ya mshikamano.

Ni hakika binadamu yoyote ana turning/breaking point. Ipo siku watanzania wataungana hivi hivi dhidi ya utekaji holela na ukandamizaji wa haki bila intervention ya wanasiasa (CCM/CHADEMA). Huu ni mwanzo.
 
Wake us up watanzania wakiungana kwenye mambo ya msingi not these trivial matters.
 
Kaka tumeungana tumekua kitu kimoja hadi Raha japo Kuna watu wamekia wakihusika kutugawa kisa hawaja pewa mhao sijui Yani tafrani ila hapa tulipo fika inatosha🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom