Mnhenwa Ndege
JF-Expert Member
- Dec 5, 2007
- 242
- 21
Mwanafunzi wa chuo cha IFM Beatrice Lukindo jana aliibuka mshindi wa Miss Higher Learning katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jumla ya warembo kumi na moja walishiriki katika kinyanganyilo hicho.
Beatrice Lukindo mwanafunzi wa Chuo Usimamizi wa Fedha (IFM) akiwapungia watu mkono mara ya kuibuka mshindi wa Miss Higher Learning 2009.
Washiri wote wa Miss Higher learning Kabla mchujo haujaanza.
Hawa ndio warembo tano bora, this is where the beauty and the brians are. Warembo waliofanikiwa kuingia tano bora walikuwa ni Doris Jonatus, Margaret Beatus, Beatrice Lukindo, Linda Mzinga na Easter Gao.
Sura zinaonyesha wanafurahia ila hapo tumbo joto maana hawo ndio wawili bora. Hapo wanasubiri mshindi atangazwe. Kushoto ni Linda Mzinga nna kulia ni Beatrice Lukindo. Kwa Picha zaidi nenda Pwani Raha Blog.
Last edited: