Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Kwa heshima kubwa!

Ninaomba shindano la kumsaka miss Jamiiforums lirejee katika mtiririko wake!Sheria ziwekwe wazi, mambo yawe wazi! Wadhamini wawe wazi na mwisho wa siku washindi wapewe zawadi zao stahiki.

Vigezo na Masharti vikizingatiwa naamini hakuna kitakachoharibika na kama ni utaratibu wa wadhamini, wasubmit sehemu ya udhamini wao kwa Moderator kabla ya shindano kuanza utaratibu wa Poll uweke kwa wale watakaopata mapendekezo mengi zaidi.

Hili shindano lina ladha yake! Let bring it back.

CC: Arushaone,

Waliowahi kushiriki wasishiriki tena!

Hawa hapa chini napendekeza washiriki, kwa sababu hawajawahi kushiriki.

CC; Khantwe, Honey Faith, atoto, 'Valentina' miss chagga, cute b, Kasinde, janeth1....

Nawategemea kwenye huu mchakato.

Na wadada wengine wote!
mbona umenisahau mm jamani au ndo mnachaguana wenyewe =niweke kwenye list hapo juu
 
Tatizo Kasinde atachomesha ramani ya vita

Shugaa, vile wee ulivyo sukari bin pipi ya warembo na wananasa kwako kuliko ulimbo unasavyo....... naanzaje kuuza sukari na shirika la NMC limefilisika na hakuna mwingine aliyepewa kibali cha kuagiza na kugawa sukari.....!

Halafu nikiuza mchongo wa sukari yako....., mi ntakula nini sasa kwa mfano vile napenda makeki na machokoleti ......😜😜😅😋😋😋

Ntapita leo saa sita na nusu mchana shaap.

Cheers 🥂😉.
 
Looh poleee....

Umepishana na gari ya mshahara hiviii...... 😜😜

Ila kwa sukari uliyonayo, litalurudia tuu aahahhaaa
Hahaha...

Bora umeisitiri sukari, vile ungeiweka hadharani si haba ungewaibua nyenyere waje waile kwa mstaari mnyoofu

😊
 
Hahaha...

Bora umeisitiri sukari, vile ungeiweka hadharani si haba ungewaibua nyenyere waje waile kwa mstaari mnyoofu

😊

Aahahahahahaa naanzaje kuwaruhusu wadokoe sukari, weeeehhh.....!!!

Ntawafungia kibwebwe, shurtuuu 😜😜😜😅.

Pacha wako hajambo? Ameadimika, sijamsikia kitamboo.

Eid Mubarak watuuu.

Sijalala naandaa pishi la kesho shurtu nipindue pilau kuku 😋.

Mwanamke jiko...😅😅😜
 
Back
Top Bottom