Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

mbona umenisahau mm jamani au ndo mnachaguana wenyewe =niweke kwenye list hapo juu
 
Na bado hujajibu swali teh

Aahahahaaa ghafla kawa domo zege eeheheheheeee πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ.
 
Tatizo Kasinde atachomesha ramani ya vita

Shugaa, vile wee ulivyo sukari bin pipi ya warembo na wananasa kwako kuliko ulimbo unasavyo....... naanzaje kuuza sukari na shirika la NMC limefilisika na hakuna mwingine aliyepewa kibali cha kuagiza na kugawa sukari.....!

Halafu nikiuza mchongo wa sukari yako....., mi ntakula nini sasa kwa mfano vile napenda makeki na machokoleti ......πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Ntapita leo saa sita na nusu mchana shaap.

Cheers πŸ₯‚πŸ˜‰.
 
Looh poleee....

Umepishana na gari ya mshahara hiviii...... 😜😜

Ila kwa sukari uliyonayo, litalurudia tuu aahahhaaa
Hahaha...

Bora umeisitiri sukari, vile ungeiweka hadharani si haba ungewaibua nyenyere waje waile kwa mstaari mnyoofu

😊
 
Hahaha...

Bora umeisitiri sukari, vile ungeiweka hadharani si haba ungewaibua nyenyere waje waile kwa mstaari mnyoofu

😊

Aahahahahahaa naanzaje kuwaruhusu wadokoe sukari, weeeehhh.....!!!

Ntawafungia kibwebwe, shurtuuu πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜….

Pacha wako hajambo? Ameadimika, sijamsikia kitamboo.

Eid Mubarak watuuu.

Sijalala naandaa pishi la kesho shurtu nipindue pilau kuku πŸ˜‹.

Mwanamke jiko...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…