Miss Kenya na tuhuma za dhuluma dhidi ya mamiss wa Afrika

Sawa, kulalamika wakati mwingine kunasaidia.

Ila dunia hii ilojaa uovu hayo mambo yapo, tena hilo la kupanga matokeo linajulikana toka zamani.

Mi nashangaa alishindwaje kukomaa kueleza kuwa hiyo program ni yake na ameifanyia nchini.

Otherwise congrats to Kenyan girl she outsmarted ours because hizo project huwa wanafanya geresha ili washinde afterwards husahau.
Anayeendeleza hayo so far ni Doris Mollel.
 
Mimi simlaumu miss Kenya maana Kama MTU umeshindwa kuthibitisha kuwa hiyo sehemu si Kenya bhasi wewe ndo utakuwa na upungufu wa akili ... Tena unajiita mmasai !!!!!!........

Alafu ninaona Kama huyu binti akili yake haijakaa sawa though Mara ya kwanza nilichukia pale alipotusiwa .. Airport tu unalianzishaaaa , hiyo ni kujitetea tu ili usionekane umeshindwa as if ulikuwa na contract kuwa taji ni lako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ila wakenya sio watu wa mchezomchezo ..toka mlimani city, Olympics na sasa wizi hadi miss world (joking)
 

jameni watu na vijisababu wakishindwa!! kenya wamepata taji la africa kwa miss world/no.4 duniani na wakapata Mr. world africa. miss tanzania alipata namba ngapi katika mashindano tofauti tofauti ndani ya ili shindano!!! baseless claims!

miss world africa na nne dunia nzima!!! utakubali au upate uzingizi yaishe!!!






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…