Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
A miss without beauty!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikate tamaa mdau [emoji3] [emoji3]tangu hzi miis zianze hapa tanzania hajawahi patikana mshindi,. si tuache hata kama ni bidii tumefanya tuweke mikono juu tu surrender
Huyu mdada ni too naive. .angetakiwa kuwa street smart. ..duh hebu tuwe aggressive katika issues ambazo tunapenda kuzifanya....hallo!Sawa, kulalamika wakati mwingine kunasaidia.
Ila dunia hii ilojaa uovu hayo mambo yapo, tena hilo la kupanga matokeo linajulikana toka zamani.
Mi nashangaa alishindwaje kukomaa kueleza kuwa hiyo program ni yake na ameifanyia nchini.
Otherwise congrats to Kenyan girl she outsmarted ours because hizo project huwa wanafanya geresha ili washinde afterwards husahau.
Anayeendeleza hayo so far ni Doris Mollel.
Hahahaha. .kweli kabisatangu hzi miis zianze hapa tanzania hajawahi patikana mshindi,. si tuache hata kama ni bidii tumefanya tuweke mikono juu tu surrender
Tulishafika huko, Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kwanza kupata hilo taji.tangu hzi miis zianze hapa tanzania hajawahi patikana mshindi,. si tuache hata kama ni bidii tumefanya tuweke mikono juu tu surrender
Vipi kuhusu Nancy Sumari?
Acheni uwiziwizi mzee. Yani taifa lenu sijui lipoje. Unadhan mnachukiwa kwa mafanikio yenu? Ni tabia zenu za kijinga.
Sawa basi.....Njambi kwa kikwetu ni mwizi