Miss Kenya na tuhuma za dhuluma dhidi ya mamiss wa Afrika

Miss Kenya na tuhuma za dhuluma dhidi ya mamiss wa Afrika

Sipendi watangazaji vilaza. Eti Julius Kambarage International Airport.... Halafu uwanja wa kimataifa wa Julius Kambarage International Airport.... Hamu ya kuendelea kutazama imeisha
 
watanzanaia kwa kulalamika tumezidi, huyu hata maelezo ya kutosha kuhusu malalamiko yake hayaeleweki.
 
Hayo ya kudhurumiwa sijui na nini siwezi kuyaongelea. Ila ninachotaka kusema ni kwamba wote waliishiriki mchakato mzima kuanzia kumpa kibali cha kwenda US, aliyempa passport, mnunua tiketi, aliyempeleka airport, aliyemchania boarding pass, aliyemkagua na aliyemgongea exit wote watumbuliwe kwa maslahi mapana ya taifa kwasababu kila mmoja miongoni mwao alikuwa na nafasi ya kuliokoa taifa na kadhia ya aibu hii
 
mkenya popote anapoenda duniani akikutana na mtz huwa anatafuta ni eneo gani nitamdestroy. nimesoma na wakenya kadhaa ulaya na ndio walikuwa maadui wangu wakubwa kuliko wazungu. wazungu tulikuwa tunaelewana mno lakini mkenya atafanya juu chini hata kuharibu hata mahusiano uliyo nayo na wengine kwasababu tu wewe ni mtz. wakenya nafikiri wameumbwa kupambana na watz. nasema toka moyoni kabisa, hii kitu wanayo sana.
 
mkuu umeua.. hadi aliyemchania bording pass atumbuliwe..

mi najua watanzania ni watu wa excuse..

kwenye football tukifungwa tunasema mvua au mwamuzi... kwenye ngumi hivyohivyo. kazini tukichelewa tunasema foleni..

huyu miss hakuna kitu hana vigezo vya kumzidi miss kenya na wengineo ila analeta excuses zake tu...

Hayo ya kudhurumiwa sijui na nini siwezi kuyaongelea. Ila ninachotaka kusema ni kwamba wote waliishiriki mchakato mzima kuanzia kumpa kibali cha kwenda US, aliyempa passport, mnunua tiketi, aliyempeleka airport, aliyemchania boarding pass, aliyemkagua na aliyemgongea exit wote watumbuliwe kwa maslahi mapana ya taifa
 
Aliempa kibali kwenda huko nani? Mtaishia kusema wakenya wakenya cheki anavoongea tu unajua hakufaa hata kuwa miss loliondo#
Kwani hujui vigezo vinavyowapa umiss mkuu? Wewe angalia tabia za mamiss wote bongo uone kama kuna mwenye akili hata mmoja.
 
Angalia hao wanawake anaowaposti kwa mbwembwe nyingi wana sura mbaya(kwa standard za TZ).Kweli Kenya kuna wanawake wabaya ikiwa hao ndio wakali wao.
Mmmmmh!!...yet miss kenya was number 4 out of 117 countries

Miss tanzania was 78 uuuuuuwf!!

Kweli standards za tanzania ni top notch sawa sawa

[emoji108][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nikiangaliaga wanawake wanaosifiwa kuwa wazuri na Wakenya huwa nachoka kabisa...sasa huyu "zombie''si sawa na wale kina dada wanaoujiuza pale kimboka ambao wamechoka kwa maisha ya tabu na uvutaji sigara!
Yes
Zombie huyo akaja akawa number NNE duniani

1482474173008.jpg

The last time mkenya alikuwa number 8 Duniani

Somehow They keep being top ten Watanzania hata kunusia top 50 hampo!!!
 
Mmmmmh!!...yet miss kenya was number 4 out of 117 countries

Miss tanzania was 78 uuuuuuwf!!

Kweli standards za tanzania ni yop notch sawa sawa

[emoji108][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Huyo sijui walimuokota wapi
 
mkenya popote anapoenda duniani akikutana na mtz huwa anatafuta ni eneo gani nitamdestroy. nimesoma na wakenya kadhaa ulaya na ndio walikuwa maadui wangu wakubwa kuliko wazungu. wazungu tulikuwa tunaelewana mno lakini mkenya atafanya juu chini hata kuharibu hata mahusiano uliyo nayo na wengine kwasababu tu wewe ni mtz. wakenya nafikiri wameumbwa kupambana na watz. nasema toka moyoni kabisa, hii kitu wanayo sana.
Hayo ni maoni yako yasiyo na dhibitisho lolote

Below miss Serbia Miss DR Congo Miss Kenya
1482474515745.jpg

Below is Miss Kenya Miss Uganda
Miss Lesotho and Miss Seychelles
1482474560503.jpg

Waafrika wenzake miss tanzania wanajua kuchukua L ispokua yeye pekee katoka na majungu ....

Ona anapoingia Airport hata kusalimia watu Sheeda .....how was she even miss tanzania ??
 
Well, from the way she even comes out at the Airport.... very chaotic woman. She's not gentle, she is not lady like.... Halafu nani alimwambia kutwang kiswahili ni vizuri.... Haki she looks and sounds like a tourist attraction
 
Tusiwalaumu Wakenya..hawa jamaa wamekulia kwenye pure capitalism.

Na capitalism kama Mwl Nyerere alivyosema ni unyama..na unyama hakuna kuoneana huruma ni kuwa aggressive and submissive ili kusurvive sasa sisis wabongo bado tuna Ujamaa ndo unaotuangusha huruma na kumtreat mwenzio kama dugu moja ilhali mwenzio yeye anataka kucheza hata rough ili mradi atimize malengo yake. Wakenya wanaitaga bidii hii.
 
Miss Tz haya nimazingira ya kutojiandaa endapo kama tunakuhajajianda haina maana kushiriki kama unakubali kunyanganywa ushindi kizembe kisha unakuja kwenye vyombo vya habari kulalamika haifai hii miss Tz aibu yako.
 
Hayo ya kudhurumiwa sijui na nini siwezi kuyaongelea. Ila ninachotaka kusema ni kwamba wote waliishiriki mchakato mzima kuanzia kumpa kibali cha kwenda US, aliyempa passport, mnunua tiketi, aliyempeleka airport, aliyemchania boarding pass, aliyemkagua na aliyemgongea exit wote watumbuliwe kwa maslahi mapana ya taifa kwasababu kila mmoja miongoni mwao alikuwa na nafasi ya kuliokoa taifa na kadhia ya aibu hii

Haha mkuu, umegalagaza kwenye matope huoni kitu tena, kwa hiyo kwa kifupi, someone could've woken up and say "Ooooh hell no...!!!" [emoji1]
 
Haha mkuu, umegalagaza kwenye matope huoni kitu tena, kwa hiyo kwa kifupi, someone could've woken up and say "Ooooh hell no...!!!" [emoji1]

Hichi kitoto japokuwa ni kishamba lakini pia kinaponzwa zaidi kiburi cha kimasai.. nakitabiria kitaharibu sana hadi yule kahaba sijui ndio wema aonekane mstaarabu
 
Back
Top Bottom