Van Walter
Senior Member
- Jun 16, 2009
- 171
- 12
Na mi nawaombea wasiwe na uwezo wa kujieleza zaidi ya walio nao hivi sasa, manake tutashindwa kujiexpress nao kirahisi. Na bado hatujapata products za shule za Lowassa (Sekondari za kata), hapo ndipo tutazidi pata burdani nzuri zaidi.
JF niliangalia miss kenya na kwa aliyebahatika kuiona lol wenzetu kidogo naona wame advance na mabinti wanaconfidance sijawahi kuona
watoto wanajieleza kama hawana akili nzuri mengineyo yalikuwa makosa madogo madogo
Mbona warembo wetu wa Kitanzania upeo wa kujieleza ni mgumu sana???
Firstladdy,
Jiulize wewe ulipokuwa au kama haujafikia age 21 au form 6 -uwezo wako wa kujieleza ulikuwaje hata ukiulizwa maswali na baba na mama tu.Matatizo ni mengi kuanzia mfumo wa elimu,wengine ndio inakuwa mara ya kwanza kushiriki kwenye mambo kama hayo,wengine Tv huwa wanaangalia michezo ya kuigiza tu,ukija ukachanganya na ulimbukeni wetu kuwa english ni kigezo muhimu inakuwa shida tupu maana hawajui miss China au India huwa wanazungumza kikwao.
Hawa ma miss wanawekwa kambini mwezi mmoja. Wanakua wanawafundisha nini?
Mabinti wetu kukosa confidence kunatokana na tabia yetu ya uswahili tangu mitaani tunakokulia. Watanzania kwa jumla hatuna confidence na jambo lolote, ndiyo maana akija mtu mgeni tunatetemekea kama nini. Hebu angalia sasa hivi karibu nchi nzima imechukuliwa na wageni na wala hatusemi kitu. Viongozi wetu wanaiba halafu bado tunaandamana kuwapongeza. Kenya hawana ujinga wa namna hiyo, ndiyo maana hata walipoibiwa kura walipigana, sisi tunanyamanza na kusema huo ndio uzalendo. Waziri wa Kenya aliyekula rushwa alivuliwa madaraka papo kwa papo, juzi tumesikia uteuzi wa kijinga uliofanywa na Rais Bunge likakataa papo kwa papo. Mambo hayo hayawezi kutokea Tanzania. Tunajua kabisa kuwa mfanyakazi wa serikali anaiba pesa za serikali lakini ama tunamsifia au tunamwonea wivu.

huyu lundenga anastahili kubakwa na yeye siyo anamega tu watoto wa maskini
huyu lundenga anastahili kubakwa na yeye siyo anamega tu watoto wa maskini
Tatizo wengi wanaoingia katika fani hii ya urembo hapa tanzania hawana IQ ya kutosha na huwa hawajui kama wanatakiwa awe mtu wa aina gani..wanachojua ni kuwa na umbo zuri na kuvaa vizuri tu ili waonekane warembo, Hawajui hata current affairs kuhusu nchi yao.. wapo baadhi hata hawajui nchi hii ilianzisha lini mfumo wa vyama vyingi..Mbona warembo wetu wa Kitanzania upeo wa kujieleza ni mgumu sana???
Duh hii kali mzee, hadi kingoni tena, kiswahili tu kinatoshawatwange hata kisukuma na kingoni si watawekwa wakalimani jamani...hii kasumba ya kuona kuongea kiingereza ndo unajua inaleta taabu sana..
Kuna ukweli wowote kama TZ kuna rushwa ya ngono?? mmh