Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah kwahyo na hii topic unataka tuijadili kweli mkuu[emoji23]
Ndyo, celebrityDaah kwahyo na hii topic unataka tuijadili kweli mkuu😂
Ajabu sana mkuu [emoji23][emoji23]Daah kwahyo na hii topic unataka tuijadili kweli mkuu[emoji23]
Sisi tupo mikoani huku , ngoja waje watu wa huko Dar wakupe huo ubuyuNipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12.
Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your boyfriend Loves me".
Maana yake Rafiki yako wa kiume ananipenda. Watangazaji wa Tv huwa hawabahatishi. Hapa kuna Mtoto wa kike anarushiwa jiwe au kupashwa ujumbe.
Ni nani huyu anafikishiwa ujumbe na Miss Lolo?