Mbona ana sura ya bi kidude?Miss Mexico Venessa Ponce yatwaa taji la Miss World 2018, huku Miss Uganda akitwaa taji la Miss World Africa.View attachment 960872
Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico Venessa Ponce De Leon kutwaa taji la Miss World 2018.View attachment 960868
Top 5 continental winners ni Mexico – Americas Thailand – Asia/Occenia Uganda – Africa Jamaica – Caribbean Belarus – Europrle View attachment 960873>>TANZANIA HATUPO
Nasikia umiss hawaangalii sura tu. Wanaangalia mpaka akili na uwezo wa kujieleza, Tanzania itakua tunafeli kwenye ukosefu akili maana wazuri tuliwahi kua nao.
Au Deo Kisandu.Miss uganda yupo vizuri kujieleza na anajiamini balaa. Miss wetu kizungu cha kuunga unga tu hajiamini. Miss Tanzania ingemfata nancy sumari awape ujuzi kidogo
Na alivokomaa hivo hushindwi ambiwa kazaliwa mwaka 99...
Miss uganda yupo vizuri kujieleza na anajiamini balaa. Miss wetu kizungu cha kuunga unga tu hajiamini. Miss Tanzania ingemfata nancy sumari awape ujuzi kidogo
Thank you sweet pie, and nimegoogle miss world naona ni wa 92...Quiin Abenakyo (born 1996) is a Ugandan model and beauty pageant titleholder who was crowned Miss Uganda 2018.[1] She represented Uganda at Miss World 2018 in China.[2] At the Miss World 2018 contest, Abenakyo was a winner in the head to head challenge portion of the contest, thereby placing among the Top 5. She is the first Ugandan to place this high in this annual pageant.. Source Wikipedia
Miss world hawaangalii kujieleza miss wetu alikuwa mzuri kuliko Uganda. Miss Uganda kilicho mubeba ni kushinda head to challenge iliyo mu boost mpaka kuingia top 15 pia kura alipigiwa nyingi mno. Halafu kila bara lilikuwa lazima litoe mshiriki top 10kwa Africa tulipata washiriki wawili na wote walikuwa kutoka Africa, baada ya kushinda head to challenge. Kilicho waangusha finali wakawa wabovu miss Mexico akawashinda vigezo cha urefu na uzuri.
Huyu aliwazidi urefu hao wenzake aisee na vingine. Lugha sio shida Kuna walioingia top fifteen kingereza cha kawaida kabisa. Hafu hyo head to head challenge haikuhitaji lugha, pia project ya kijamii na impact yake ilibeba washiriki. Kwenye lugha kikubwa ueleweke. Miss India kingereza chake kulikuwa sio kizuri Ila kaingia top 30 hafu hapo na bahati muhimu pia aisee. Tusijilaumu Watanzania miss wetu alikuwa vzuri mno. Sema lazima top five apatikaneMbn miss world sio mrefu sana? Ana 1.73 ila nahisi wetu atakuwa na 1.8hukooo. Tatizo lugha mama, lugha ni changamoto. Wawe wanaenda na wakalimani. Ila miss ug mmh[emoji40]
Miss world hawaangalii kujieleza miss wetu alikuwa mzuri kuliko Uganda. Miss Uganda kilicho mubeba ni kushinda head to challenge iliyo mu boost mpaka kuingia top 15 pia kura alipigiwa nyingi mno. Halafu kila bara lilikuwa lazima litoe mshiriki top 10kwa Africa tulipata washiriki wawili na wote walikuwa kutoka Africa, baada ya kushinda head to challenge. Kilicho waangusha finali wakawa wabovu miss Mexico akawashinda vigezo cha urefu na uzuri.
Bahati mbaya mpira na umbea umenikaa kichwani kuliko hili shindano ila kujieleza muhimu sana uzuri faida ya ziada tu na kura pia nyongeza. Miss uganda kastahili,ukiangalia kilichomsaidia nancy enzi zake ni kujiamini kizungu kwa sana,kujieleza