Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Agbani Darego, MFR[4] (born Agbani Asenite Darego,[5][6][7] 22 December 1982) is a Nigerian model and beauty queen, best known as the first native African to win Miss World. Source Wikipedia
Nimetoka WP. Sijaona mwenye ngozi nyeusi kushinda MW.

Labda yule mwenye ngozi nyeusi kutoka Jamaica pekee..
 
Tanzania muwepo!!!!??? kwa lugha ipi ya mawasiliano? au zile verse wanazo kariri hapo bongo ukiwabadilishia swali wanabaki !!you know!!!!!you know!!!!!you know!!!
Kuna vijipengere pengere vidogo tofauti sana vya Miss World..

Naona hadi wakenya wenye sura mbaya nao wameshinda ...

Ila Tz kwenye wadada wazuri tumeshindwa kuandikisha jina la Taifa letu.

Naona kimombo nacho kinachangiaga.
 
Kwa taarifa yako top five Africa this year imeingiza wawili tena weusi walikuwa watatu top five mwingine alikuwa Caribbean. Na kilichompa huyo Uganda ni kuwin hyo challenge kitu ambacho kiliwaingiza na wengine I know ur team zari lazima utie bwembwe Ili ionekane was perfect hafu hivo vtu huenda kwa zamu tu kipindi cha Diana flave miss Kenya alikuwa miss world Africa. So hyo ya kusema eti best si kweli maana kawa wanne
Sijaona mpinzani wake maana top 15 hamna mwafrika zaidi yake,top 30 ndio kuna nigeria na south afrika. Tusisingizie bahati binti katimiza vigezo vya nje kwa sie watazamaji na vigezo vya ndani vya majaji na waandaaji. Kama nancy alivyojituma binti nae alijiongeza katujituma na kutumia fursa alizozipata. Kuhusu kura tunachanganyana tu mara kura zilimsaidia miss uganda mara hazisaidii,lilian hakuwa na vigezo basi tu figisu figisu za ludenga na sitti mtemvu
 
Kuna watu watasema blacks wamefanyiwa figisu
Hakuna siku katika dunia hii mtu mweusi atakuwa Miss World au kuwa Papa.

Tushukuru at least Muhammad Alli, Abedi Pele na Nelson Mandela wametupa nuru ya kutambulika vizuri kidunia.
 
Kumtumia Nancy napo hufui dafu mbona vigezo vyajulikana Kuna kupitana vigezo hafu wao humuandaa mshindi kabisa. Huonagi India mara wazungu kwa sana. Nancy hawezi fanya lolote wote Wana vigezo juhudi zako kushinda challenge project ya kijamii plus bahati, unaweza shinda. Mi nilishayafatilia mno hayo ma shindano walah
Hivi kwanini huwa hawamtumii Nancy jamani akawapa vi tip 2 au 3 kuhusiana na hayo mashindano???
 
Hakuna siku katika dunia hii mtu mweusi atakuwa Miss World au kuwa Papa.

Tushukuru at least Muhammad Alli, Abedi Pele na Nelson Mandela wametupa nuru ya kutambulika vizuri kidunia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Google Miss world 2001 utamuona huyo mnaijeria
Wazungu wabaguzi sana aisee!

Hawajamuweka kabisa kwenye wikipedia.

Ila nini? Hii walitupa tu kuvunja maneno ya figisu figisu..

Ukizaa mtoto mmoja, ghafla ukatoka mara moja kwenda gengeni. Kurudi ukarudi na Machngwa mawili kwa ajili ga mwanao cha kushangaza ukakuta watoto 2 wa jirani ya utafanyeje?

Utawapa chungwa moja moja wale watoto wawili wa jirani yako na kuwaambia wamkatie mwanao nusu nusu. By default mwanao atakuwa amekula chungwa zima moja. (Ndicho wazungu walichofanya 2001)
 
Weusi huwa wanaingia tu top five basi Ili kupoza machungu
 
Wazungu wabaguzi sana aisee!

Hawajamuweka kabisa kwenye wikipedia.

Ila nini? Hii walitupa tu kuvunja maneno ya figisu figisu..

Ukizaa mtoto mmoja, ghafla ukatoka mara moja kwenda gengeni. Kurudi ukarudi na Machngwa mawili kwa ajili ga mwanao cha kushangaza ukakuta watoto 2 wa jirani ya utafanyeje?

Utawapa chungwa moja moja wale watoto wawili wa jirani yako na kuwaambia wamkatie mwanao nusu nusu. By default mwanao atakuwa amekula chungwa zima moja. (Ndicho wazungu walichofanya 2001)
Mfano mzuri sana
Ehhh Mola wangu tujalie na sisi walahi
 
Huyu dada mzuri sana, mrefu ana confidence...in short ana vigezo vyote vya u miss. Ilaumu camera maana naona mpiga picha alishindwa kumbalance ktk picha...
Miss TZ ni mkurya?? au mhaya?? mbona mbaya hivi... havutii hata kupigiwa kura...!? Jiuze kabla hauja uzwa...! Huyu hauziki aliuzika Mlimani city...!
 
Miss TZ ni mkurya?? au mhaya?? mbona mbaya hivi... havutii hata kupigiwa kura...!? Jiuze kabla hauja uzwa...! Huyu hauziki aliuzika Mlimani city...!
True
Hii biashara nchi yetu Tz tuachane nayo maana tumekuwa wasindikizaji tu!
Kijigari chenyewe anachopewa ni aibu tupu walahi
 
Sasa zari anahusikaje hapa jamani?
Kingine top 12 hii hapa

TOP 12

Maria VASILEVICH - Belarus
Maëva COUCKE - France
Linzi MCLELLAND - Scotland
Kadijah ROBINSON - Jamaica
Larissa SEGAREL - Martinique
Vanessa PONCE DE LEON - Mexico
Solaris BARBA - Panama
Anne Murielle RAVINA - Mauritius
Quiin ABENAKYO - Uganda
Shrinkhala KHATIWADA - Nepal
Jessica TYSON - New Zealand
Nicolene Pichapa LIMSNUKAN - Thailand

Huko carribean unapopasema sijaona kwenye list au wamuongelea huyu mweusi mwingine pichani?huyu ni miss jamaica haipo afrika
IMG_20181209_002023.jpg
sometimes tuache uteam na mbwembwe diana hamfikii hata wema sembuse miss kenya!miss kenya alistahili. Aliyeshinda kashinda,zari hajasaidia chochote hapo.
Kwa taarifa yako top five Africa this year imeingiza wawili tena weusi walikuwa watatu top five mwingine alikuwa Caribbean. Na kilichompa huyo Uganda ni kuwin hyo challenge kitu ambacho kiliwaingiza na wengine I know ur team zari lazima utie bwembwe Ili ionekane was perfect hafu hivo vtu huenda kwa zamu tu kipindi cha Diana flave miss Kenya alikuwa miss world Africa. So hyo ya kusema eti best si kweli maana kawa wanne
 
Yupo wikipedia na ndipo nilipopatia habari zake.

Vyovyote tu ili mradi tushapatapo taji la Miss world na kuwepo kwenye historia bado kupata world cup tu
Wazungu wabaguzi sana aisee!

Hawajamuweka kabisa kwenye wikipedia.

Ila nini? Hii walitupa tu kuvunja maneno ya figisu figisu..

Ukizaa mtoto mmoja, ghafla ukatoka mara moja kwenda gengeni. Kurudi ukarudi na Machngwa mawili kwa ajili ga mwanao cha kushangaza ukakuta watoto 2 wa jirani ya utafanyeje?

Utawapa chungwa moja moja wale watoto wawili wa jirani yako na kuwaambia wamkatie mwanao nusu nusu. By default mwanao atakuwa amekula chungwa zima moja. (Ndicho wazungu walichofanya 2001)
 
The Caribbean is a region of North America that consists of the Caribbean Sea, its islands and the surrounding coasts. The region is southeast of the Gulf of Mexico and the North American mainland, east of Central America, and north of South America. Wikipedia
 
Lazima nioe hichi chombo ...

Nkiuza kale kakibanda kangu ka kuchoma mahnd nadhan mahal ntapata

Tuombeane wakuu
 
Ushahawi sikia Miss World anatoka Afrika?

Wenzetu ukitaja Afrika, hawahesabihi kama ni duniani..

Sisi tunashiriki tu washindani ni wao...ndio maana imeaandaliwa kipengele cha miss world Africa ili kunyamazisha midomo.
Mbona kuna miss world America ?
 
Back
Top Bottom