Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
- Thread starter
- #81
Mkuu kubali tu umebug kulazimisha Miss uganda aonekane hana sifa ya taji hilo vigezo vyote alipita,english tamu,diana mzuri kilichomuangusha uzoefu na utoto,lugha zero etc. Hakuna rotation Miss world ni ushindi halali wa mtu. Msidanganyane na kujipa matumain ya rotation. Pili uling'ang'ania sana kusema carribean ipo afrika,uwe unagoogle kwanza.
Top 12 hakuna mwafrika pyuuua zaidi ya Miss uganda,yule mcarribean ana asili ya kiafrika but sio raia wa afrika.
Top 12 hakuna mwafrika pyuuua zaidi ya Miss uganda,yule mcarribean ana asili ya kiafrika but sio raia wa afrika.
Mwanzo mbona ulikuwa una force or vigezo sijui kingereza miss world kuingia top five huwa ni rotation tu kwa kila nchi. Mbona wa Uganda mubovu tu kisura ka Diana flave.