Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii alishinda kutokana hata mashindano yalifanyika Africa .Wazungu wabaguzi sana aisee!
Hawajamuweka kabisa kwenye wikipedia.
Ila nini? Hii walitupa tu kuvunja maneno ya figisu figisu..
Ukizaa mtoto mmoja, ghafla ukatoka mara moja kwenda gengeni. Kurudi ukarudi na Machngwa mawili kwa ajili ga mwanao cha kushangaza ukakuta watoto 2 wa jirani ya utafanyeje?
Utawapa chungwa moja moja wale watoto wawili wa jirani yako na kuwaambia wamkatie mwanao nusu nusu. By default mwanao atakuwa amekula chungwa zima moja. (Ndicho wazungu walichofanya 2001)
Ukifatilia miss World ni Kama mchezo wa kupokezana vijiti, sio Tanzania tu kuna nchi kibao ambao washiriki wake hawafanyi vizuri kila wanaposhiriki na sio kwa sababu ya washiriki hawana vigezo vya kutosha kwa sababu ni mchezo wa kupokezana, mfano Kenya waliibuka kidedea mwaka Jana unaweza ikawachukua takribani miaka kadhaa kuibuka tena.Katika ma miss waliokosa mvuto wa kimavazi Tanzania tuliongoza mwaka huu yaan ni aibuuu.
Miss mzuri mavazi yake yooote na hair style mbovu hakukaa kimiss world hata kamara zilikua zikimkimbia.
Pia miss Tanzania hakua na project ya maana wala sera za ushawishi, ulokole umemzidi.
Kwakua dada basila kaaza basi aombe ushauri kwa kina nancy na wengine wafahamu miss world wanataka nn.
Noma sana in ZOPPA's voiceHuo wanja sasa na rangi ya nguo daah
We are moving on the right trackMiss Mexico Venessa Ponce yatwaa taji la Miss World 2018, huku Miss Uganda akitwaa taji la Miss World Africa.View attachment 960872
Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico Venessa Ponce De Leon kutwaa taji la Miss World 2018.View attachment 960868
Top 5 continental winners ni Mexico – Americas Thailand – Asia/Occenia Uganda – Africa Jamaica – Caribbean Belarus – Europrle View attachment 960873>>TANZANIA HATUPO
[emoji23]Na aliyemshonea hili gauni Miss wetu haendi mbinguni [emoji852][emoji852]View attachment 960958
Nigeria na South Africa wamewahi shinda. And Nigeria ni 2000 if not 2001Ushahawi sikia Miss World anatoka Afrika?
Wenzetu ukitaja Afrika, hawahesabihi kama ni duniani..
Sisi tunashiriki tu washindani ni wao...ndio maana imeaandaliwa kipengele cha miss world Africa ili kunyamazisha midomo.
Una point mimi huwa nafatilia miss world ndo mchezo wa kupokezana flani hivi ndo mana top five huingia mabara yote. Hata Nancy sumari alishinda kuwakilisha bara la Africa. Hata wa Uganda, kipindi cha kina Diana flave, mkenya ndo aliwakilisha bara la Africa I wonder wanao mponda miss wetu. Kwanza umiss ni platform nzuri kwa washindi kuitumiaUkifatilia miss World ni Kama mchezo wa kupokezana vijiti, sio Tanzania tu kuna nchi kibao ambao washiriki wake hawafanyi vizuri kila wanaposhiriki na sio kwa sababu ya washiriki hawana vigezo vya kutosha kwa sababu ni mchezo wa kupokezana, mfano Kenya waliibuka kidedea mwaka Jana unaweza ikawachukua takribani miaka kadhaa kuibuka tena.
Nigeria tokea iliposhinda miss world 2001 ni miss yupi wa Nigeria alishashinda tena??
Tanzania tokea Nancy sumari ni lini ilishika hiyo nafasi tena??
Kikubwa Yale mashindano ni kuwafungulia fursa mabinti wale wanaoshiriki wawe watu Fulani kwenye jamii zao wanazotoka. Watumie fursa waliyoipata kujitegema na kutimiza ndoto zao za kimaisha.
Mwanzo mbona ulikuwa una force or vigezo sijui kingereza miss world kuingia top five huwa ni rotation tu kwa kila nchi. Mbona wa Uganda mubovu tu kisura ka Diana flave.Sasa zari anahusikaje hapa jamani?
Kingine top 12 hii hapa
TOP 12
Maria VASILEVICH - Belarus
Maëva COUCKE - France
Linzi MCLELLAND - Scotland
Kadijah ROBINSON - Jamaica
Larissa SEGAREL - Martinique
Vanessa PONCE DE LEON - Mexico
Solaris BARBA - Panama
Anne Murielle RAVINA - Mauritius
Quiin ABENAKYO - Uganda
Shrinkhala KHATIWADA - Nepal
Jessica TYSON - New Zealand
Nicolene Pichapa LIMSNUKAN - Thailand
Huko carribean unapopasema sijaona kwenye list au wamuongelea huyu mweusi mwingine pichani?huyu ni miss jamaica haipo afrikaView attachment 960998sometimes tuache uteam na mbwembwe diana hamfikii hata wema sembuse miss kenya!miss kenya alistahili. Aliyeshinda kashinda,zari hajasaidia chochote hapo.
Kuna mwaka india walishinda 2 years consecutively... 1999 na 2000 if am not mistaken.... na hapo ni kupokezana vijiti?Ukifatilia miss World ni Kama mchezo wa kupokezana vijiti, sio Tanzania tu kuna nchi kibao ambao washiriki wake hawafanyi vizuri kila wanaposhiriki na sio kwa sababu ya washiriki hawana vigezo vya kutosha kwa sababu ni mchezo wa kupokezana, mfano Kenya waliibuka kidedea mwaka Jana unaweza ikawachukua takribani miaka kadhaa kuibuka tena.
Nigeria tokea iliposhinda miss world 2001 ni miss yupi wa Nigeria alishashinda tena??
Tanzania tokea Nancy sumari ni lini ilishika hiyo nafasi tena??
Kikubwa Yale mashindano ni kuwafungulia fursa mabinti wale wanaoshiriki wawe watu Fulani kwenye jamii zao wanazotoka. Watumie fursa waliyoipata kujitegema na kutimiza ndoto zao za kimaisha.
Kuna mwaka alitoka Nigeria, the following year wakaenda kufanyia kule, wakatolewa nduki na waislam wa msimamo mkali. Try to google utaona.Ushahawi sikia Miss World anatoka Afrika?
Wenzetu ukitaja Afrika, hawahesabihi kama ni duniani..
Sisi tunashiriki tu washindani ni wao...ndio maana imeaandaliwa kipengele cha miss world Africa ili kunyamazisha midomo.
Tokea hapo India ilishashinda tena?Kuna mwaka india walishinda 2 years consecutively... 1999 na 2000 if am not mistaken.... na hapo ni kupokezana vijiti?
Mashindano ni mashindano na mshindi lazima apatikane, mashindano yalikua fair sana
Hyo ni rare case sana nowadays top five inaingiza mabara yote mbonaKuna mwaka india walishinda 2 years consecutively... 1999 na 2000 if am not mistaken.... na hapo ni kupokezana vijiti?
Mashindano ni mashindano na mshindi lazima apatikane, mashindano yalikua fair sana
Hata mkitafuta Top 99 ya kwenu mtapekua na kupekua lakini hamtaipata.TOP 30
Anahí HORMAZABAL - Chile
Anukreethy VAS - India
Anne Murielle RAVINA - Mauritius
Vanessa PEH - Singapore
Veruska LJUBISAVLJEVIC - Venezuela
Jannatul Ferdous OISHEE - Bangladesh
Larissa PING LIEW - Malaysia
Vanessa PONCE DE LEON - Mexico
Nicolene Pichapa LIMSNUKAN - Thailand
Quiin ABENAKYO - Uganda
Maëva COUCKE - France
Marisa BUTLER - United States
Kanako DATE - Japan
Shrinkhala KHATIWADA - Nepal
Peirui MAO - China PR
Reihana KOTEKA-WIKI - Cook Islands
Maria VASILEVICH - Belarus
Angeline FLOR PUA - Belgium
Katharine WALKER - Northern Ireland
Natalya STROEVA - Russia
Linzi MCLELLAND - Scotland
Anita UKAH - Nigeria
Thulisa KEYI - South Africa
Solaris BARBA - Panama
Ashley LASHLEY - Barbados
Kadijah ROBINSON - Jamaica
Larissa SEGAREL - Martinique
Jessica TYSON - New Zealand
Alya NURSHABRINA - Indonesia
Vy TRAN - Vietnam
Kuna shinda la Miss wirld likifanyika South Afrika, mshindi alikua anaitwa Nanji kutoka Nigeria. Unaiongeleaji hiyo maana Tayari ameshakuaHakuna siku katika dunia hii mtu mweusi atakuwa Miss World au kuwa Papa.
Tushukuru at least Muhammad Alli, Abedi Pele na Nelson Mandela wametupa nuru ya kutambulika vizuri kidunia.