Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Umeona ehh .Mwaka Jana miss India alistahili kushinda maana alikuwa moto lakini ukiangalia chezo tulilochezewa Africa utacheka..
Mwaka Jana strong contestant from Afrika alikuwa mnaija maana hata miss world top model aliichukua na fast track nyingine alifanya poa yaani inshort mdada alijiweza. Cha kushangaza akaingia top 15 AF mkenya ambaye alikuwa weak wakamuweka Top 5 ili ionekane tu mshindi anayechaguliwa kastahili..
Miss world ukikaa ukitulia mbona unausoma mchezo
 
Hata mimi hyo queen Elizabeth nilishangaa mno aisee sijui alilitoa wapi
 
Reactions: SMU
Hata mwaka huu mshiriki wa India alikuwa vzuri hata project yake she was fire a najiamini lakini nilishangaa alivotoswa kiurahisi.

Yani miss world sasa hivi wakimtaka mshindi wao waingiza top five wabovu na moja mshindi ambaye yuko vzuri.
Mi ndo mana nashangaa wanao blame sijui vigezo sijui nini angalia hyo ya mkenya ilivo Kuwa I think huwa Kuna ki rotational cha siri hupita mwaka huo ka imepangwa chini flani kushinda ni lazima tu ashinde
 
Daah aiseee Tanzania yangu weee tushaanza jilinganisha na USA bagesh
Hamna nchi isiyokwama USA taifa kubwa lakwama sembuse Tanzania ya dunia ya tatu
 
Visingizio visingizio kila kona na lawama kibao aiseee
 
Sio kila mwaka wanacheza chezo ..kuna miaka kweli unakuta mshiriki alistahili kama miss India wa mwaka Jana ila ukiangalia mwaka juzi utachoka.. Ukija kwa miss S.A Rolenne alistahili mwaka wake, Megan yang miss phillipines pia na hakuna aliyepinga ila tatizo ukiwa na vigezo AF zamu ya Bara lako ishapita ni ngumu kupewa yaani hapo wataangalia nani wa kumueka halafu strong contestants wanaishia top 15.. Wanaoingizwa top 5 utacheka
 
Hakuna zamu mkuu. Msijiaminishe uongo. Otherwise afrika tungeshatwaa mataji kibao kwa kila nchi
 
My dear uko vzuri na well informed kabisa hafu queen wetu project yake ilikuwa inahusu nini jamani maana sijajua hata kidogo. Huyo miss wa South kupata tena wakati wao hushinda miss world mara top ten bora walimu weka tu bench bora miss world wanavo balance hizi mambo
 
Ni kweli hii ya miss world bara lako likishapita utasugua benchi mpaka ujute yani Ila Kuna nchi washiriki wao huwa wako vzuri kwa kila idara Ila ndo inakuwa basi tena. Hivi huyo Rollene wa South ndo aliyekuwa mwanafunzi wa u daktari. Ila miss wa mwaka jana alikuwa mzuri mno aisee.
 
Oooh means sina uhuru wa kuchat na mwingine kisa utajishtukia ee
Mimi sijakunyima ku chart vile nime ku quote ukasema mie sumu. Means I'm not allowed to quote you
 
Coz ulijibu kama nimejibiwa na sumu. Pia hoja na panicking sidhan kama ilikuhusu
Mimi sijakunyima ku chart vile nime ku quote ukasema mie sumu. Means I'm not allowed to quote you
 
Yeap ndo huyo huyo ..Rolenne aliiteka dunia na kila mtu alimpenda na ile nyonyo ya kiafrika.. Miss India wa last year alikuwa si mchezo yaani beauty with purpose project ilipita bila kupingwa ,chezea kutoa service kwa vijiji zaidi ya buku huku na yeye ni student wa udaktari
 
[emoji23][emoji23][emoji23]numby le panic button.
Ushaelewa somo lakini maana kila kitu unajua wewe...I didn't expect more from a lady with an empty skull between her ears
 
Hata huyu wa India mwaka huu project yake ikishinda anatoa service kwa watu 200 na kitu hafu kaajiri watu 20 tena anasaidia watoto wenye shida. Ila nchi za wenzetu project zao huwa wa najiandaa mno
 
[emoji23][emoji23][emoji23]numby le panic button.
Punic button of whom one... Just enjoy your own stupidity my dear and then get back to yo slum house... Yo good in IG not in JF tena nenda kamdefend that old cougar and whore from UG coz that's what yo best at doing ila mambo ya analysis kaa pembeni..empty headed gal who likes attention..nshakupa already so take a pill and chill
 
Hata huyu wa India mwaka huu project yake ikishinda anatoa service kwa watu 200 na kitu hafu kaajiri watu 20 tena anasaidia watoto wenye shida. Ila nchi za wenzetu project zao huwa wa najiandaa mno
Ni kweli dearest... Hata ya Bridgitte nakumbuka ilihusiana na kujenga centre ya kuwanusuru maalbino na alikuwa ashaanza yaani sio mchezo

Miss Kenya idah wa 2015 nadhani project yake ilishinda maana ilihusiana na kuwaokoa watu na janga LA minyoo huko rural Kenya
 
Ila afadhali Elizabeth kuliko yule Diana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…