Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Ili utoboze huko inabidi project yako kweli ibadilishe watu na hapo nchi ka India hutupiga bao mana project zao hufanyika kabisa kwa watu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]maskini daah kumbe huwa unanifatilia sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pole . then huko IG natumia ID gani sasa maana hata sijui njia yake,nielekeze

Nawachana ukweli mnapanic poleni sana. Am here(JF)to stay
 
Hahaaaaa maskini go and get a life ..sio kuwa nakufuatilia ila unaforce kujulikana maana katika kila thread ni lazma ujioneshe kuwa unajua kuliko wengine na matusi juu... JF ni kama street tu yaani yule gal mmpenda attention mtamjua tu na kuna wale wapo na issue zao disminders kama mzigua hawana shobo ila tunawajua tu kwa traits zao..

My dear huna umuhimu kama unaojipa and second hakuna anaekufuatilia humu zaidi ya wewe kujipa credit ziso zako maana yo still empty headed just kuwa humble ujifunze..
3rd jifunze kuheshimu watu hata kama umejificha nyuma ya keyboard

Kingine learn to have a class as a lady sawa and you can't learn it from retired whores kama Zari..jifunze kuwafollow hata akina modesta mahiga, carol Ndosi, maria tseshai, mwamvita makamba, eve rugemalira ,maznati hata jide na vanesaa ukitaka..

Hizi league za zari na mobetto zieke kuwa za kufurahisha tu sio main part
 
Gazeti lote hili maskini my silent follower upo vizuri. Ikifika 12 dec wish me lucky kuvunja mwaka mwingine ndani ya JF salama. Love u all my followers!!!Life is good.

#Thats me Numby babe#
 
[emoji1][emoji1][emoji1] mbona hii thread jana ilikuwa nzuri tu. Tusitukanane kisa miss Venezuela...
 
Gazeti lote hili maskini my silent follower upo vizuri. Ikifika 12 dec wish me lucky kuvunja mwaka mwingine ndani ya JF salama. Love u all my followers!!!Life is good.

#Thats me Numby babe#
Hongera kwa kuongeza mwaka in JF and more digits in your bank account coz of dat sawa dearest...
Hope umeelewa kila nilichoandika and hope you won't post a forest of words but a desert of points again..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thank u and welcome again. Kila ukifeel kutaka kupanic ntafute nitakupa dozi matata. Am numby baby le panic button.
Hongera kwa kuongeza mwaka in JF and more digits in your bank account coz of dat sawa dearest...
Hope umeelewa kila nilichoandika and hope you won't post a forest of words but a desert of points again..
 
Shwain zake miss Uganda kasababisha yote haya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1] mbona hii thread jana ilikuwa nzuri tu. Tusitukanane kisa miss Venezuela...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thank u and welcome again. Kila ukifeel kutaka kupanic ntafute nitakupa dozi matata. Am numby baby le panic button.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
Huyu dada mzuri sana, mrefu ana confidence...in short ana vigezo vyote vya u miss. Ilaumu camera maana naona mpiga picha alishindwa kumbalance ktk picha...
jamani kamera hiyo kwake tu?? labda Nina matatizo ya macho... urefu sawa Ila sio mzuri...! ina wezekana kamera za huko China zina shida mpaka miss wa dunia ana onekana bibi hahahahahaaa....
 
Mi haya mambo ya mobetto zari zimeshinda zinashusha iq sasa watu wagombania mwanaume kiruuu
 
Mimi mashindano haya sina ishu nayo kabisa. Siwezi poteza muda wangu kuangilia mifupa.

Watuekee miss BANTU lakini wazungu hawatoitaka kabisa, Mana AFRICA itachafua
 
hii kitu si kweli mbona kama Miss world wanafululizaga india, kwann iwe kijiti kwetu tuu??
tukubali tuu tunashindwa kuandaa ma miss ambao wapo smart kichwani, kama ulisoma motto sijui ambishion ya miss wetu unaona kabisa haikua na direct impact katika jamii ukilinganisha na Miss uganda.

tanzania tuache kuchagua ma miss kwa uzuri tuu bali tuangalie kichwani maana wenyewe wanasema beauty with purpose!

note: simaanishi miss wetu hayuko vizuri hapana sema maandalizi yake yalimfanya asiwe comfortable maana alikua anavaa mironya tuu.
 
[emoji1][emoji1] yaani hapo walichagua kichwa...in short wengine walikuwa wanapumlia mashine...hahaha.
 
Nasikia umiss hawaangalii sura tu. Wanaangalia mpaka akili na uwezo wa kujieleza, Tanzania itakua tunafeli kwenye ukosefu akili maana wazuri tuliwahi kua nao.
Wazuri hawanaga akili kichwani...isipokuwa wachache...
 
Weka vigezo hapa tuvielewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…