Miss Natafuta jua limewaka leo vipi huko

Yupo anapambana na member wa forex huko kwenye Uzi Fulani hivi!
Mpaka Kuna Jamaa kamwambia ana genye kwasababu leo jua limewaka.......

Nimecheka sana lol....
 
Yupo anapambana na member wa forex huko kwenye Uzi Fulani hivi!
Mpaka Kuna Jamaa kamwambia ana genye kwasababu leo jua limewaka.......

Nimecheka sana lol....
hivi ndo yule ambaye amemwambia amtumie inbox kama ataweza ahaha ama kweli inbox yake imekuwa locked
 
leo nipo kwenye full kiyoyozi hapa siskii kitu wala sitoki nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…