Miss Natafuta like you've never seen her before

Miss Natafuta like you've never seen her before

Docta hapana buana. Halafu sijui kwanini wewe ni mchoyo wa likes

Haya rudi like comments zangu zooote. [emoji57][emoji57]
Ha haa basi itabidi nijizoeshe hua nasahau bana

Uwe unankumbusha sasa nawewe
 
Hii kitu mna discuss kwangu haifunguki.. Every thing is ok with my phone.. But kitu kimeganda 0%..hahahaa... Au mods washafanya yao...
 
daaaaah.....aisee wewe jamaa kuanzia leo naacha kuku snitch.
ila vyeti vyangu vipo clean.

aisee saidia basi tumpate met Ben Saanane
Hahahahahaa wazeee wa ''penda watoto''.....!!!
Hahaha namjua yule boya... nikishagombana naye akataka kunifukuzisha shule.

Mimi mgalatia mzee...wee mwenyewe jichanganyeee siku unisnitch nakujua hadi vyeti vyako.
 
Back
Top Bottom