Team bamiaUnamaanisha kwamba?
Mbona nimekuita mrembo, tatizo wewe uko kwenye maisha mapyaDah yani cuzoo umekosaje kuniita kwenye tukio kubwa kuliko yote ya kijiwe chetu[emoji22][emoji22][emoji22]
Hahahaaa...Hahaha
Niko job bado, ila nililisha asubuhi
Mtafutie Nissan nyeupe mkuuHahahaaa sawa bwana, sema kwa mbiti siku hiz naona malue malue tu kuna watu wasiojulikana wamemubadilisha mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Brooh!
Uko pouwa?
Ogopa kusogezwa kizazi ..[emoji41]Team bamia
Usijali tuko pamojaLooh nimepitwa shukran dear nitapitia page moj moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona nimekuita mrembo, tatizo wewe uko kwenye maisha mapya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa...
Interview ikiisha uniambie neno "kibamia au bamia" limetamkwa mara ngapi kwenye huu uzi..
See you later.
Aisee kwahiyo kumbe ndo maana siku hiz umebadilika kumbe una mwingine?Hahaahah we nipindue tu kwako wewe sina la kusema !we jiachie tu mamy maisha yenyewe kupokezana jaman ! mie mwenyewe nafikiria kumpindua espy kwa kichaa mwafulani
Sio vizuri ujueNimewaachia uwanja wenu!
muosha rungu
Nimekuelewa sana ujueOgopa kusogezwa kizazi ..[emoji41]
Mimi napita mkuu.Hahaa mkuu yaani nowdays tushakua team umbea aisee..
Umeelewa niniNimekuelewa sana ujue
Nilimuita bhanaa, acha uchocheziCuzoo me ndio nimeingia mlilie wii ako sakayo na numbisa ujue
mapenzi sio pesa ,ila mapenzi bila pesa hayataenda lazima pesa iwepo ili kutunza mapenzi.mtaishije bila pesa ,si mtakufa njaa .Unaamini katika Mapenzi ni pesa au mapenzi sio pesa??
Dhibiti hisia zako
Upendo ni tiba.