Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
miss leo na unataka ushindi..all the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulijibu vyema sanayeyote Mwenyenzi Mungu atakaenipa ,ila namuomba mungu at least,awe mwanaume I mean awe anajua majukumu yake,majukumu ya mwanaume ni kutunza familia kwa kusaidiana na mkewe .pia anipende kwa dhati.mengine tutabadilishana .kila mtu ana mapungufu yake
ahaaaaamimi ni kibonge flani japo sio sana nina kg 93.ile avatar ilikuwa ni mimi mkuu so niliitoa kwa sababu maalumu
Haaaa....ila chura ipo?Huyo ni tembo binadamu!!
niligawaZile kuni zako za ununio ushapata mteja?