Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

ila kuna jambo huwa linanishangaza shogaa kuna wanaume ni wazuri,warefuu yaani wamejazia mwili wa kiume kabisa ila wana vibamia hatare .shida ni nini? hormone au vilikatwa?
Sasa unatuuliza tena maswali sie jamanii
 
Jamii inayokuzunguka inakuchukuliaje kulingana na mienendo/tabia zako?? Mpole, mkarimu au anti-social??
nipo cool na jamii yangu,nashiriakiana na jamii yangu kjwenye mambo yote muhimu,misiba,sherehe ,kutembelea wagonjwa n.k mimi ni mpole flani japo sio saana pia ni mkarimu kwa kiasi flani .mimi ni mtu wa kawaida kwa kifupi naishi kwa kufata maadili ya kitanzania kama nilivolelewa na wazazi wangu.nadhani kwa jamii inayonizunguka sina tabia mbaya maana hata kama nikisema nipige tukio huwa naenda kupiga mtaa wa mia nane huko.sina tabia chafu hata kidogo kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…