Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Kama utapata nafasi ya kuwa na mume hapo baadae, tutajie sifa zake..
yeyote Mwenyenzi Mungu atakaenipa ,ila namuomba mungu at least,awe mwanaume I mean awe anajua majukumu yake,majukumu ya mwanaume ni kutunza familia kwa kusaidiana na mkewe .pia anipende kwa dhati.mengine tutabadilishana .kila mtu ana mapungufu yake
 
Hapo sawa, umesema kila mtu ana mapungufu yake nakubaliana na wewe je , changamoto za ndoa zikitokea utazijuaje may be mumeo kachepuka au kasahau kulisha familia??
 
uzito wangu haupungui japo hauongezeki. mimi napenda sana kula vitu vitamu.japo sili sana ila siwezi kukaa masaa matatu bila kutafuna kitu.issue ingine nina free mind and soul kwa hiyo nanenepa tu mwili au roho vimeridhika
anhaa sawa, ulishawahi kupata Presha au kiribatumbo kwa ajili ya uzito wako??
 
Miss natafutaa

Kwanza napenda kukupongeza wewe ni kati ya madem hapa jf nawapenda na kuwakubali

Swali kwako

Unatoka mkoa gani hapa tz

Pili ulishawahi toka njee ya nch

dhuluma na uhasidi ndio chanzo cha umasikini
 
Hapo sawa, umesema kila mtu ana mapungufu yake nakubaliana na wewe je , changamoto za ndoa zikitokea utazijuaje may be mumeo kachepuka au kasahau kulisha familia??
mume kuchepuka au kutolisha familia hizo sio changamoto mkuu hayo ni makosa.changamoto ni hali ambayo imetokea bila kutarajia kwenu wawili,like ugonjwa,maafa kwenye biashara,kufukuzwa kazi na situation nyingine kama hizo.ila mtu kutoka nje ya familia na kuanza kukitembeza kitaa ukaacha kujali familia hilo ni kosa na linastahili adhabu kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…