[emoji23] [emoji23] walaaHahahaaaaa! Na wewe in mmoja wao mini?
Unamtafuta ili umuulize kama ni yeye?
Huna tofauti na yule muha wa mariam
Miss Natafuta kuna nanii huku anakunanii
Jina lako baya ww humuwez huyo tuachie vijanamimi namtaka huyu Evelyn Salt
Okay miss natafuta ijia Ben10 wakoNamtafuta ili tufahamiane.
Ni wifi yangu kaka alishakuwahimimi namtaka huyu Evelyn Salt
Hawa watoto sasa jnr Ben10 anataka kukamata leylandOkay miss natafuta ijia Ben10 wako
Una umri gani?Hilo jukwaa wanajiunga vp jamani
Hangaika naye hiyo ni Recipe ya ugonjwa wa moyo na presha!Wakuu, wapenzi na wafurukutwa wa hili jukwaa la MMU, nawasalimu in the name of MMU. Bila kupoteza muda au kupepesa macho, naomba niende direct kwenye point. Kwa kweli kila ninapoingia humu JF nisipomuona [HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta# basi nakuwa sina raha. Na nafurahi sana kufuatilia comment zake. Nahisi ni mtu ambaye yuko bize sana, or sort of; kwa hiyo PM naona kama itakuwa kumpotezea muda.(Nilim'PM wakati fulani nikapotezewa)
Lakini, cha zaidi, kilichonifanya niandike Uzi huu maalum hapa MMU, special Kwa ajili yako [HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta# ni kwamba jana jioni niliona "mtu" anafanana 99% na huyo aliyeko kwenye Display picture (avator) yako, nikatamani nimuulize ila mazingira hayakuwa rafiki. Sasa sijui hiyo picha hapo ni wewe ama la., hili ni jambo natamani kulijua pia.
Tafadhali wana JF, na mhusika, mniwie radhi in case nimeenda kinyume, lakini nimeona njia bora ni kuiweka wazi hapa. Nawatakieni j2 njema.
Wasalaam #ben10jr#
Ni wifi yangu kaka alishakuwahi
Ni mke halali wa mentorSawa mkuu nlizan jimbo liko wazi kumbe wajanja washakaba
Jina lako baya ww humuwez huyo tuachie vijana
Ni mke halali wa mentor
Hawa watoto sasa jnr Ben10 anataka kukamata leyland
wewe si mwalimu dada, ebu mfundishe topics mbili tatu aepukane na huo udomo zegeIle thread ya 'wanaume wa Kanda ya ziwa ni madomo zege "
Kuna audio jamaa anasaundisha