Miss Natafuta nakutafuta

Miss Natafuta nakutafuta

Jaman c aje tu uyo muhusika ili apigwe kainterview mwanana watu tufurah
 
Wakuu, wapenzi na wafurukutwa wa hili jukwaa la MMU, nawasalimu in the name of MMU. Bila kupoteza muda au kupepesa macho, naomba niende direct kwenye point. Kwa kweli kila ninapoingia humu JF nisipomuona [HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta# basi nakuwa sina raha. Na nafurahi sana kufuatilia comment zake. Nahisi ni mtu ambaye yuko bize sana, or sort of; kwa hiyo PM naona kama itakuwa kumpotezea muda.(Nilim'PM wakati fulani nikapotezewa)
Lakini, cha zaidi, kilichonifanya niandike Uzi huu maalum hapa MMU, special Kwa ajili yako [HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafuta# ni kwamba jana jioni niliona "mtu" anafanana 99% na huyo aliyeko kwenye Display picture (avator) yako, nikatamani nimuulize ila mazingira hayakuwa rafiki. Sasa sijui hiyo picha hapo ni wewe ama la., hili ni jambo natamani kulijua pia.
Tafadhali wana JF, na mhusika, mniwie radhi in case nimeenda kinyume, lakini nimeona njia bora ni kuiweka wazi hapa. Nawatakieni j2 njema.
Wasalaam #ben10jr#
Hangaika naye hiyo ni Recipe ya ugonjwa wa moyo na presha!
 
Hawa watoto sasa jnr Ben10 anataka kukamata leyland

Hahahaaa... Hili jina "ben10jr" halihusiani na ile catoon innayopendwa sana na watoto, that is just a Pneumonik name originating from my real names. Kwa hiyo my dear miss natafuta, mimi sio kinda, ni mtu na "mzima".
 
Halafu [HASHTAG]#Sky[/HASHTAG] Éclat# umenikosea sana kumfananisha Miss natafuta na "layland"........, duh! Plz inabidi umtake radhi aisee. Kabla hajaja hapa.
 
Back
Top Bottom