Miss Natafuta uko wapi nakuomba uje hapa

Miss Natafuta uko wapi nakuomba uje hapa

zsm

Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
55
Reaction score
48
Wapendwa habari zenu,

Naomba nisiwachoshe naomba nimweleze Miss Natafuta kuwa tangu nimeijua JF na baada ya miaka kadhaaa huwa naona huyu dada anatafuta mwanaume wa kuolewa nae. Kwa muda wote huo nimekuwa najiulize kwanini huyu dada ahangaike hivyo.

Leo natamka wazi kwa moyo mkunjufu kwamba Miss Natafuta popote ulipo nataka nikuoe naomba unicheki uniulize swali lolote kuhusu mimi.

Karibu sana mama
 
sasa mpaka umfungulie thread Naona kale katabia kakufungulia thread kameanza mfuate PM Kama upo serious
 
Naona miss natufa maombi yale ya jumapili hayakuwa ya mchezo mchezo yamejibu kazi kwako sasa!!!!
 
hatimaye kapatikana anaetafutwa.
jese,mwl. kashasha tunaiitaje hii?
mwl.kashasha, hii jese tunaiita mbwa kafia kwa muuza supu.
 
Kila la kheir kwake ila isiwe tu unatafuta kiki tutakuchamba na msasa wa chuma.
 
Back
Top Bottom