Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Sasa mkuu kama upo humu jf halafu hufuatilii mambo ya humu kwa hiyo upo humu unafanya nn?Huna kazi ndugu , unashinda unafuatilia mambo ya humu, hauko serious.
Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake
Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf
Je huyu tuendelee kumwamini tena??
1.1.2017
Mpwaaaaa huwanawawazaga hawaa unaanza kumwazaa Pdidy usiejuaa Kama yukodar ama Mbena meantime amamwanamke lohunafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta na mwanaume kabisa anajifanya dem
Ameangalia mwandiko..Umepiga ramli[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Umenichekesha..Waambieni mods watoe haya majiti kwenw picha zetu basi.
Afu hii threat ni ya chit chat sio ya hapa hii
....acha upusti wewe!..yani uweze kulijua hilo kahaba ni janaume afu usijue kuna mshana jr humu?mshana ni jina la ukoo wetu we ulitaka nijiiteje ndugu kwanza ndo nimejiunga jf sikujua kuna mtu anaitwa mshana humu
Laa haulaaa..!!!!!!Miss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!
Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.
God have mercy to miss natafuta
Jibu yangu kule ya mwaka mpyaLaa haulaaa..!!!!!!
Halafu kuna Mr Natafuta,je,ni mtu mmoja au ni tofauti?
Ha ha umeona eh. Jamaa ka edit space tu
Ha ha umeona eh. Jamaa ka edit space tu
πππππππ
View attachment 453068
Mkuu wewe sio huyo mtu hapo. Tunamjua mshana kuliko unavojua wewe
nimefungua account mpya haijaanza kutumika bado sijui kwaniniJibu yangu kule ya mwaka mpya
kwanini? ?? π‘Daaah!
Kweli huyo miss Natafuta ni shoga?
Aisee mimi hadi mwili umekufa ganzi...
Nachukia mashoga kufa!!
mkuu nimefungua account mpya bado haijaanza kutumikaKupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake
Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf
Je huyu tuendelee kumwamini tena??
1.1.2017
hahaha [emoji23]nimefungua account mpya haijaanza kutumika bado sijui kwanini