Miss natafuta wa JF audanganya umma

Miss natafuta wa JF audanganya umma

Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake

Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf

Je huyu tuendelee kumwamini tena??

1.1.2017

Itakuwa kijikooo sioo umaa ukusikiaa vizurii
 
Miss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!

Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.

God have mercy to miss natafuta
Laa haulaaa..!!!!!!

Halafu kuna Mr Natafuta,je,ni mtu mmoja au ni tofauti?
 
Huyu anatafuta bwana. Familia kaipata lini ? Vijana mchangamkieni huyu mama kabla hajazeeka kabisa
 
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
1483288108108.jpg

Mkuu wewe sio huyo mtu hapo. Tunamjua mshana kuliko unavojua wewe
 
Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake

Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf

Je huyu tuendelee kumwamini tena??

1.1.2017
mkuu nimefungua account mpya bado haijaanza kutumika
 
Back
Top Bottom