Miss Natafuta...

Sijawahi kuwa serious JF!..........Naomba nitumie fursa hii kuwashukuru member wote wa JF ambao huwa wananielewa![emoji120][emoji120] [emoji120]
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Kumbe wewe ni muongo!!......Umeweka orodha hewa hapa![emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mimi nakuelewa sana ni utani tu
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mimi nakuelewa sana ni utani tu
Wewe janja janja sana,mambo yako ya mtongozo huwa unafanyia pm,huwa hufanyii hapa hadharani kama mimi!![emoji23] [emoji23] [emoji23]...........Kesho nabandika screenshot zako zote za pm hapa![emoji1]

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ukibandika kesho ni ya kutengeneza, bandika sasa.
Kutongoza kwa sitaha(pm) ni bonge la heshima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukibandika kesho ni ya kutengeneza, bandika sasa.
Kutongoza sitaha ni bonge la heshima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siwezi kubandika sasa hivi kwa sababu nahitaji muda wa kufanya hacking![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sijawahi kuwa serious JF!..........Naomba nitumie fursa hii kuwashukuru member wote wa JF ambao huwa wananielewa![emoji120][emoji120] [emoji120]

Hongera wewe kuna watu wanaokuelewa humu JF... Kasie bin Kasinde hajawahi kueleweka humu JF hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…