Miss Natafuta...

Miss Natafuta...

Hahahaa pacha naona umeamka uko pouwa???[emoji7]
Mimi nina bando la 4G mwaya kwa hiyo nitakuwa nakujibu fasta fasta,huyu pacha wako yeye atakuwa online masaa 24 ila ana bando la 3G na atakuwa anakujibu very slow,kila message atakuwa anakujibu baada ya lisaa limoja!🙂🙂🙂
 
Bado unampigia mwenzio majungu
 
Huna sera zaidi ya majungu...
Bado unampigia mwenzio majungu
Nashukuru umemuona...🙂🙂
 
Mtafuta kiki tu huyu..! Alianza na nyuzi zake za ufuska alipojulikana sasa hivi anapambana kumoderate jina limegoma. Mimi huwa namchukulia mdada mmoja mpuuzi na mshenzi sana.
Bigmind huwa una maneno makaliiii.
Duuuuh!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Ukimchekea nyani shambani utayavuna mabua na majirani watakucheka na usiombe wenzio kujua[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Back
Top Bottom