Miss Natafuta...

Miss Natafuta...

Ndio maana nimeshangaa, nikiwa nazo lazima niseme tena nazisema kwanjia ya mhamasisho ili mhamasihwaji ajiongeze na akichelewa namfuata.
Oh my my.......thats sexy...!
 
Mmh, sis mmh

Na nitakulaani wewe na kizazi chako chote.
Haujambo kaka yangu?

Hiyo laana haitoshika kabisaaa, maana mtoa laana mwenyewe ana zake za kumtosha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Haujambo kaka yangu?

Hiyo laana haitoshika kabisaaa, maana mtoa laana mwenyewe ana zake za kumtosha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi lakini mbona nyie hampendi mafanikio ya ndugu yenu....

Mimi kupenda mwanamke kuna shida sis?
 
Hivi lakini mbona nyie hampendi mafanikio ya ndugu yenu....

Mimi kupenda mwanamke kuna shida sis?
Kupenda hakuna shida, ila sasaaa mdogo wangu si unajua hapa suala sio kupenda ila umependa nini!!!
 
Back
Top Bottom