Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,102
Mtu kusikia Nyege si kosa . . , wala kukiri hadharani kuwa una nyege sio udhaifu . .Sasa kama ana nyege kwanini azioneshe humu jf?
Watu wawazi, wanaoweza ku share habari zao na yeyote kisaikolojia wanaitwa, kwa lugha ya kigeni . . " extroverts " kama sijakosea
Hawa ndio wanaofanya dunia iwe mahala pazuri pa kuishi . . , wanaburudisha, wanafurahisha, na wanasaidia sana jamii kuelimika . .
Mwacheni bi dada na hamu zake, atachagua amtakae wa kucheza nae kidali poo . .