Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Inawezekana alipotamka miaka yake watu wakasikia kama amesema 18 kumbe alisema 28!
 
Nyie c mnawachekea ccm. Mnajifanya ooo hatutaki siasa mara ooo hatutaki vyama. Hao ndiyo ccm sasa, watawachakachua mpaka kunako ambako hakustahili kuchakachuliwa. Ndiyo akili ziwaingie vizuri warembo
 
Miss bomba au bibi bomba?
 

Attachments

  • 1413392560589.jpg
    1413392560589.jpg
    48.8 KB · Views: 537
Hivi unashusha umri ili iweje???,mtu mwenye miaka kumi na nane hajawa mzee hivyo bado.
 
Back
Top Bottom