na bado kashiriki na kashindaaa
lundenga kachemsha
Mie kwa jinsi navyomuona kama vile ana miaka 30 au 29
Jamani huyu hana 18 ... alishakuaga demu wangu. Ana 24, na ana mtoto! Na wala hana hiyo masters
Jamani huyu hana 18 ... alishakuaga demu wangu. Ana 24, na ana mtoto! Na wala hana hiyo masters
ccm inaingiaje hapa?
Sitti Abas Mtemvu(Mtoto wa Mwana CCM) + Abas Mtemvu (Mbunge Temeke kupitia CCM) = CCM
mkuu acha bac uongo ujue n dhambi kubwa sana
Na watu kama nyie mnaongea kwa kutumia mifano ya umasikini wenu kama sample ya maisha ya watanzania wote huwa mnaboa sana
Alikuwa anaigiza huko Dallas miaka 2 plus iliyopita. Hana miaka 18. Ana miaka 25 at least.
Source: Explore Talent Acting Profile - Sitti Mtemvu | 25 years old Acting | Dallas TX 75243 - ExploreTalent.com
Angalia na clip ya hii movie aliyoigiza miaka ya nyuma: