Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Nakushauri ukapitie upya sheria za if na kama unaona kuna kanuni imevunjwa report comment husika!

Huoni kama huyu binti anakua bullied.?
Sina mda wa kureport abuse.

Tunarepot abuse kwa vichaa. Hawa wanaomuandama huyu dada wote wana akili timamu.
 
Jamani members nisaidieni mm nataka kwenda German December mwanzoni nikawe tu babysitter cause maisha bongo yamenishinda nina degree Mona ajira za kamlete.mm sina ndugu kibosile.na Nina watoto maisha magumu!mwenye experience anijuze jamani na mambo ya Europe nisije nikabugi meeeen!msaada plz
 
No. I want her to step down.

Kuna mtu mwenye sifa kanyimwa haki yake.

Period.

aahh..! I reserve my comment.

Mawazo yako kwa uzi huu si level zako.
Umepotoka mahala.

.,, are you aware of the term SPORT/GAME/TALENT/HOBBIE. ??
 
Huoni kama huyu binti anakua bullied.?
Sina mda wa kureport abuse.

Tunarepot abuse kwa vichaa. Hawa wanaomuandama huyu dada wote wana akili timamu.
Pengine huna muda wa kureport maana huna hoja ya kureport!

What is bullied?
Kwa hiyo watu waache kusema na kutafuta ukweli kwa kuhofia mtu fulani...
Don forget Miss Tanzania ina husu public!
 
Hehehe dah!

Sasa baba mwenyewe ni CCM mnategemea nini?
Na cha kushangaza kuna watu wanamtetea kabisa eti kwa sababu kila kitu fake siku hizi hivyo na hili kwanini linashupaliwa. That is how low we have stooped as a people. Mpaka uongo unaonekana hauna tatizo kabisa.
 
Dah nilipata muda wa kukaa na kupiga story na Lisah Jensen nashangaa kwanini akuwa miss Tz , she is cute indeed siyo huyo mtoto wa gamba .
 
Pengine huna muda wa kureport maana huna hoja ya kureport!

What is bullied?
Kwa hiyo watu waache kusema na kutafuta ukweli kwa kuhofia mtu fulani...
Don forget Miss Tanzania ina husu public!

What is BEING bullied,.?

Yes, she is being bullied.

Why did you not send ur dada who qualified the age CATEGORY.

TO CONTEST.

mwisho wa siku wote hapa mwaonekana wanafki.
 

namjua vizuri sitti alikua mwanafunzi gift and talented darasani ndio maana alikua anarushwa madarasa ni msichana mwerevu sana ndio maana sikushangaa alipochaguliwa kua tanzania one woman alistahili
 
Halafu yule Bosco alisema ana miaka 23 hivi huu upuuzi watauficha wapi.
 
Nachoshindwa kuelewa mimi....hivi kwani Ms. Tanzania ni big deal kiasi hicho mpaka uongope kama inavyodaiwa huyo binti alivyofanya?

Halafu, kama kweli kadanganya umri wake pamoja na hayo mambo mengine basi atakuwa ni bonge moja la mjinga.

Bonge moja la mjinga kwa sababu, katika dunia ya leo ya utandawazi huu, kuna mambo na mambo ambayo huwezi ukadanganya hususan mbele ya umma.

Sasa wewe mtu uko kwenye social media huko, halafu unaenda kwenye national stage na kuongopa taarifa zako mwenyewe, unategemea kweli watu hawatajua kuwa unaongopa?

Binafsi sifuatilii kabisa haya mambo ya mamiss lakini kama hizi habari kumhusu huyu binti ni za kweli basi akili yake itakuwa na hitilafu sehemu fulani.

Na nani anataka kuwakilishwa na mtu zuzu kama huyu?

Hili saga lina kila dalili ya kuja kuwa bonge la kashfa.
 
Miss Mtenvu 2014 ana Umri wa 18 kwenye mashindano na Umri wa 25 kwenye passport halafu umri wa 28 kwa mujibu wa taarifa zinazoaminika toka kwa mama yake
 
Patamu hapo vyeti vya RITA vinafanya kazi sio mchezo kama nawaoma vile wanavyovishughulikia
Hiyo aibu walioipata funga mwaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…