Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

ccm inaingiaje hapa?
Naona CCM wenyewe wanatahamalaki kila kona kuzima moto waliowasha wenyewe, ila ukweli unabaki pale pale kada wenu Mzee Mtemvu alihusika kwa kiasi kikubwa mshindi kupatikana
 
Hii ni hatareeee,
Primary 7
O-level 4
A-level 2
Bachelor 3
Masters 2
Total 18
Hahaaaaa.... nursery alisomea tumboni kwa mama yake.

This is too much. how come? iyo masterz kasoma mwaka gani na ni kitu gani???
 
Kuwa na Masters Degee mtu wa miaka 18 siyo jambo la ajabu. Inategemea alisoma nchi gani. Siyo nchi zote zina mfumo wa mirorongo kama unazozijua ikiwamo Tanzania. Si nch zote wanahesabu madaraja ya elimu kwa miaka. Na umri wa kuanza shule wa miaka 7 wa Tanzanai siyo universal.

Ingawa pia ni kweli anavyoonekana ni kama ana umri wa miaka 25/26 hivi. Kwa mwonekano hiyo ni shughuli za majaji. Lakini itabidi awe na IQ ya kutisha ili aweze ku compete vinginevyo itakuwa ngumu kukaa karibu na mabint wa Venezuela, Israel, India, Guatemala, Meixico, Brazil ambao mara nyingi huonekana kama wametoka kiwandani special kwa ulimbwende.
 
hapa ni uchakachuaji mtupu..yan wanatuletea nyenyenyenye..ila hii ndo Tanzania
 
Aende zake huko Miss gani huyo hafai hata kidogo...Lundenga na jopo lako wote hamfai na akili zenu ni ndogo kama nukta...mlikuwa na sababu gani ya kutuletea miss kama huyo mmbovu, hajiwezi, hafai ni hodari wa kufoji mambo...Upumbavu mtu na sitaki kusikia tena miss Tz...Nyorooo nyie
 
Si lazima kuwa alisoma primary 7yrs, sio lazima kuwa alisoma form 5,6. chochote chawezekana, tusifanye mazoea kuwa sheria, swali liwe is she worthy to be Miss TZ 2014 ?

mm nadhani huyu dada atakua na miaka 22 ila kadanganya mwaka wa kuzaliwa
 
Last edited by a moderator:

Hata kwa hesabu zako bado tunamashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…