supersteveenovae
New Member
- Oct 1, 2014
- 4
- 1
Bado sijaelewa mkuu,Ina maana Sitty Mtemvu ana miaka 18 na uzee wote ule?
Hii ni hatareeee,
Primary 7
O-level 4
A-level 2
Bachelor 3
Masters 2
Total 18
Hahaaaaa.... nursery alisomea tumboni kwa mama yake.
te te te kwi kwi kwi!! Umeua bendi mkuuMh! Huyo atakuwa na mastaz au mastabesheni
Anawatoto wawili wa kiume juonn na hanksy
Sio mzuri cheki hapo alivyojaa jaa weee
Si lazima kuwa alisoma primary 7yrs, sio lazima kuwa alisoma form 5,6. chochote chawezekana, tusifanye mazoea kuwa sheria, swali liwe is she worthy to be Miss TZ 2014 ?
Huyu kasoma Texas marekani
Mnashangaa nini kwa Tanzania?
View attachment 193572
Anawatoto wawili wa kiume juonn na hanksy